Mkutano wa kimataifa unaozingatia maswala ya ueneaji wa majangwa duniani
12 Septemba 2007
Mkutano wa kimataifa unaozingatia maswala ya ueneaji wa majangwa duniani unaendelea huko mjini Madrid nchini Uhispania.
https://p.dw.com/p/CH8E
Matangazo
Zainab Aziz alizungumza na Thelma Mwadzaya ambaye anahudhuria mkutano huo na kwanza alimuuliza kuhusu maswala ambayo yamejitokeza hasa baada ya kufanyika mikutano mingine miwili ya aina hii.