Mkutano wa kila mwezi na Rais Kikwete wa Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 02.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa kila mwezi na Rais Kikwete wa Tanzania

Nchini Tanzania rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mkutano wake wa kila mwezi kuhusu taifa, amezungumza na wahariri mbali mbali wa vyombo vya habari nchini humo. Mkutano huo umegusia juu ya masuala mbali mbali kuanzia siasa hadi uchumi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania

Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania

Saumu Mwasimba alipata fursa ya kuzungumza na mwandishi msaidizi wa rais, Premi Kibanga ambaye anafahamisha zaidi juu ya yale aliyoyazungumza rais katika kikao hicho.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com