1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa Jumuiya ya Madola ya Commonwealth pamoja na mashirika ya Utangazaji jijini Nairobi

Waandishi habari na waakilishi wa jumuiya na mashirika ya utangazaji ya nchi wanachama wa jumuiya ya madola ya Commondwealth, wanakutaka kwa mkutano wa siku tatu mjini Nairobi-Kenya, kuzungumzia juu ya uhuru wa vyombo vya habari, demokrasia na rushwa katika taaluma ya uandishi habari. Mwandishi wetu Mwai Gikonyo anaripoti kutoka Nairobi.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com