Mkutano wa COMESA mjini Nairobi,Kenya | Matukio ya Kisiasa | DW | 15.05.2008
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa COMESA mjini Nairobi,Kenya

Mawaziri wa biashara kutoka nchi 19 wanachama wa soko la pamoja la mashariki na kusini mwa Afrika COMESA wanakutana Nairobi Kenya.

default

Mji wa Nairobi kunakofanyika mkutano wa COMESA

Mkutano huo ulikuwa ukitazamiwa kufanyika Zimbabwe mwaka huu lakini kutokana na hali ya kisiasa nchini humo umehamishiwa Nairobi.


Mwai Gikonyo anaarifu zaidi.


 • Tarehe 15.05.2008
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/E0Rx
 • Tarehe 15.05.2008
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/E0Rx

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com