Mkataba wa kudhibiti silaha waidhinishwa
3 Aprili 2013Matangazo
Uamuzi huo umepitishwa kwa kishindo kwa kura 154, 3 tu ndizo zilizopinga ambapo 23 kutopiga kabisa. Kutoka nchini Tanzania Sudi Mnette amezungumza na mkurugenzi wa taasisi ya amani na utatuzi wa migogoro barani Afrika Cosmas Bahali na kwanza alitaka kujua ana maoni gani kufuatia kuidhinishwa kwa mkataba huo wa kwanza katika biashara ya silaha. Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri:Josephat Charo