Mjumbe wa ZEC apinga uchaguzi kurudiwa Zanzibar | Matukio ya Afrika | DW | 10.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Mjumbe wa ZEC apinga uchaguzi kurudiwa Zanzibar

Ayoub Bakari ni miongoni mwa wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wanaosema uchaguzi wa Oktoba ulikuwa halali kisheria na hivyo hauwezi kufutika. Msikilize katika mahojiano kwenye Kinagaubaga.

Sikiliza sauti 09:48

Ayoub Bakari katika Kinagaubaga na Saumu Mwasimba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada