Kaulimbiu ya Idhaa yetu inasema "Tunavuma kwa Kishindo" na kama unavyofahamu, hatuvumi tu katika redio bali pia kwenye mitandao ya kijamii. DW Kiswahili tunapatikana katika tovuti yetu ambayo ni dw.com/kiswahili, na vile vile tuko Facebook, Twitter, Instagram, Youtube na WhatsApp. Elizabeth Shoo anakufahamisha namna gani unaweza kutumia mitandao yetu ya kijamii.