1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Mimi ni mwenye Kenya daima"

11 Desemba 2013

Kenya inaadhimisha miaka 50 ya uhuru wake huku ikijisifia uwezo wake wa kiuchumi na kisiasa ingawa ina changamoto kadhaa za kuiunganisha nchi na kumfanya kila mtu kujihesabu kama Mkenya kwanza kabla ya kabila lake.

https://p.dw.com/p/1AXDq
Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta.
Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta.Picha: AP

Katika makala hii maalum ya Miaka 50 ya Uhuru wa Kenya, Alfred Kiti anatathmini hatua zilizopigwa tangu kupatikana kwa uhuru huo na matatizo ambayo taifa hilo la Afrika ya Mashariki limekabiliana nayo.

Mtayarishaji: Alfred Kiti
Mhariri: Daniel Gakuba