1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Migogoro katika chama cha ODM nchini Kenya

22 Juni 2007

Ikisalia miezi sita kabla ya Kenya kuingia katika uchaguzi mkuu wa rais na bunge viongozi mashuhuri hasa kwenye muungano wa ODM wameanza kugombana wenyewe kwa wenyewe na baadhi yao wanatishia kujiondoa kwenye muungano huo.

https://p.dw.com/p/CHCM
Rais Mwai Kibaki yumo katika juhudi za kuwania tena kiti cha Urais.
Rais Mwai Kibaki yumo katika juhudi za kuwania tena kiti cha Urais.Picha: AP