1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Michezo

26 Juni 2017

Ujerumani wajikatia tiketi ya kushiriki nusu fainali ya kombe la Mashirikisho linaloendelea huko Urusi.

https://p.dw.com/p/2fQZz

Wakati huo huo mfumo wa muamuzi kuangalia makosa ya mechi kupitia video ulio katika majaribio katika mashindano hayo, ukiwa gumzo kwa mara nyengine tena.

Mchezaji tennis mahiri kutoka Uswisi Roger Federer ashinda taji la 92 katika taaluma yake ya tennis.

Na katika riadha Kenya yatangaza kikosi cha wanariadha mahiri watakaoshiriki yale mashindano ya riadha ya dunia yatakayoandaliwa huko London, Uingereza kuanzia mwezi Agosti.