1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka miwili ya uongozi wa Rais Buhari

Iddi Ismail Ssessanga18 Aprili 2017

Wakati Rais Muhammadu Buhari alipopata ushindi usiotarajiwa katika uchaguzi wa rais, Nigeria ilikuwa inakabiliwa na msururu wa matatizo, yakiwemo ugaidi kutoka kundi la Boko Haram, mgogoro katika eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta na rushwa. Mapambano ya Jenerali huyu wa zamanib dhidi ya ugaidi yamefika wapi?

https://p.dw.com/p/2bNI4