Miaka 48 ya Uhuru wa Kenya | Matukio ya Kisiasa | DW | 12.12.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Miaka 48 ya Uhuru wa Kenya

Kenya inasherehekea miaka 48 tangu ijinyakulie Uhuru kutoka ukoloni wa Kiingereza. Siku ya Jamhuri inasheherekewa katika wakati ambapo nchi hiyo inakabiliwa na mgomo wa Madaktari kwa sasa, wanaodai nyongeza ya mishara.

Maja Dreyer (4914, Kisuaheli Redaktion, maja.dreyer@dw-world.de) wuenscht die Einstellung eines Bildes in die DW-Online-Datenbank. Gewuenschte Bildbeschreibung Blick auf Nairobi, aufgenommen im Februar 2006 Uebertragung der Rechte dieses Bildes an DW-Online Ich, Maja Dreyer, habe das Bild aufgenommen und übertrage hiermit der Deutschen Welle die Rechte zur Verwendung auf ihren Webseiten.

Mji mkuu wa Nairobi.

Aidha Kenya pia imepeleka wanajeshi wake nchini Somalia kukabiliana na kundi la kigaidi la Al-Shabaab.Je miaka 48 ya Uhuru inatathminiwa vipi na wanahistoria. Saumu Mwasimba amezungumza na mwanahistoria na mchambuzi wa masuala ya kisiasa Profesa Aidha Salim kutoka Nairobi.

Mwandishi Saumu Mwasimba

Mhariri: Miraji Othman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 12.12.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13R2S
 • Tarehe 12.12.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13R2S

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com