1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 20 ya amani Msumbiji

4 Oktoba 2012

Msumbiji leo (04.10.2012) wanaadhimisha miaka 20 tangu kusainiwa kwa makubaliano ya amani yaliyosainiwa Roma,na ambayo yalimaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe.

https://p.dw.com/p/16JtP
Wananchi wa Msumbiji washerehekea miaka 20 ya amani
Wananchi wa Msumbiji washerehekea miaka 20 ya amaniPicha: DW/M. Barroso

Daniel Gakuba amezungumza na Jenerali Ulimwengu, mwandishi wa habari nchini Tanzania ambaye alifuatilia kwa karibu mchakato huo, na kwanza alimuuliza nini cha kusherehekea leo.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Daniel Gakuba

Mhariri:Josephat Charo