Mgomo wa wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Tanzania | Matukio ya Kisiasa | DW | 30.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mgomo wa wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Tanzania

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam bado wako nyumbani kufuatia mgomo walioufanya.

Joephat Charo alizungumza na Said Hashim mwanafunzi katika chuo kikuu hicho anasema tatizo kubwa ni malipo.

Naye Profesa Mwasige Baregu wa kitivo cha taalum ya siasa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam ambaye anadhani wanafunzi wengi wanajiandaa kurudi chuoni baada ya kutangaziwa warudi tarehe 14 mwezi ujao.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com