Mfanyabiashara wa RwandaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video08.07.20158 Julai 2015Serge Ndekwe ana umri wa miaka 35. Alirejea Rwanda mwaka 1994 akiwa na umri wa miaka 14. Wazazi wake walikuwa wamekimbilia Kongo. Alianza biashara ya simu, akafungua maduka kadhaa ya dawa na leo anamiliki migahawa mitatu.https://p.dw.com/p/1FvEhMatangazo