1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Merkel alia na firimbi za wafuasi wa AfD

Iddi Ssessanga
12 Septemba 2017

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel anatarajiwa kushinda muhula mwingine kwa urahisi. Lakini kampeni katika baadhi ya maeneo ya Ujerumani zimekuwa suala la mkwaruzano, anapokutana na wafuasi sugu wa chama cha siasa kali za kizalendo cha AfD, wanaokuja wakiwa na firimbi.

https://p.dw.com/p/2jo33