UKAWA itasimama bila Dk. Slaa - MbatiaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSudi Mnette25.09.201525 Septemba 2015Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa, kutangaza kuachana na siasa akipinga kilichotokea wakati vyama vinavyounda UKAWA vikimpokea Edward Lowassa, mwenyekiti mwenza wa UKAWA, James Mbatia, amezungumza na DW kujibu tuhuma hizo.https://p.dw.com/p/1GdSlMatangazo