1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo DRC yaanza tena

Mohammed Abdulrahman
17 Machi 2017

Mazungumzo katika ya vyama vya siasa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo yameanza tena jana yakiwa na lengo la kufikia makubaliano ya kuundwa serikali ya mpito na hatimaye uchaguzi mkuu. Mohamed Abdul-Rahman amezungumza na Profesa Yvon Ramazani mmoja wa washauri wa Rais Kabila.

https://p.dw.com/p/2ZNe6