1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mayi Mayi yaachia watoto

18 Novemba 2007
https://p.dw.com/p/CIm2

KINSHASA:

Shirika la UM linalowahudumia watoto-UNICEF limearifu kuwa zaidi ya watoto 200 wameachwa huru huko Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo.Watoto hao walikuwa mikononi mwa waasi wa Mayi Mayi huko kaskazini mwa Kivu.Watoto wengine zaidi bado wamo mikononi mwa Mayi Mayi-kwa muujibu wa shirika la UNICEF.