Mawaziri wa Usafiri wa nchi 11 za jumuiya ya kiuchumi ya mataifa ya Africa ya kati CEEAC wamekutana mjini Kinshasa.
Mji wa Kinshasa palipofanyika mkutano wa CEEAC
Kiini cha mkutano huo ni kutathmini usalama wa anga na vilevile kurahisisha maingiliano ya kimkoa kupitia biashara huru.
Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.