Mbiu ya Mnyonge inalilia jijini London ambako ghadabu zilitanda kufuatia maafa makubwa yaliyosababishwa na mtoto uliozuka katika jengo la ghorofa la Grenfell Tower na kugharimu maisha ya watu 80 huku wengine wengi wakiwa bado hawajulikani walipo. Mohamed Dahman anaangazia kilio cha waathirika wa janga hilo.