Mauaji ya Kato yazusha hisia mchanganyiko
28 Januari 2011Matangazo
Hata hivyo, taarifa za mwanzo za uchunguzi wa polisi, zinaonesha kuwa huenda mwanaharakati huyo alivamiwa na wezi akiwa nyumbani mwake.
Mkuu wa polisi wa Uganda, Kale Kayihura, anasema mauaji hayo hayajahusiana na harakati za marehemu Kato, aliyekuwa na msimamo mkali dhidi ya sheria za kuwabana watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja, kama taarifa ya Leyla Ndinda inavyosimulia kutoka Uganda.
Ripoti: Leyla Ndinda
Mhariri: Saumu Mwasimba