1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 29.12.2016

Josephat Charo
29 Desemba 2016

Marekani yashutumu ujenzi wa makaazi ya Walowezi. Uturuki kuchukua hatua ya kusitisha mapigano Syria. Colombia kutoa msamaha kwa waasi wa FARC.

https://p.dw.com/p/2V03J