Mkuu wa polisi wa Catalonia apokonywa mamlaka baada ya serikali kuu ya Uhispania kuchukua udhibiti wa jimbo hilo. Hali nchini Kenya inatatanisha kufuatia uchaguzi wa marudio. Waziri wa ulinzi wa Marekani James Mattis asema kitisho cha silaha za nyuklia cha Korea Kaskazini chaongezeka.