1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 28.04.2018

Sylvia Mwehozi
28 Aprili 2018

Tuliyo nayo mchana huu: Rais wa China na waziri mkuu wa India wakubaliana kupunguza mivutano ya mpakani. Kansela Angela Merkel asema Mkataba wa pamoja wa nyuklia hautoshi kuzuia matarajio ya Iran. Na rais Donald Trump huenda akaelekea Israel mwezi ujao kufungua ubalozi mpya mjini Jerusalem.

https://p.dw.com/p/2wqS3