1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 22.04.2017

Sylvia Mwehozi
22 Aprili 2017

Tuliyo nayo mchana huu: Idadi ya vifo vya wanajeshi waliouawa katika shambulizi kwenye kambi moja nchini Afghanistan imefikia 140. Maandamano ya kukipinga chama cha AfD yafanyika katika mji wa Cologne Ujerumani. Na Ufaransa yaimarisha ulinzi kuelekea uchaguzi wa duru ya kwanza hapo kesho Jumapili

https://p.dw.com/p/2biz0