1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 21.01.2017 Saa 7:00 (Afrika Mashariki)

21 Januari 2017

https://p.dw.com/p/2WAot

Rais wa Marekani Donald Trump atia saini amri za serikali ikiwemo inayolenga kuibatilisha bima ya afya maarufu kama "Obamacare"// Maelfu kwa maelfu ya wanawake kuandamana mjini Washington na miji mingine duniani kumpinga Trump na kutaka heshima kwa wanawake. // Kiongozi wa miaka mingi wa Gambia Yahya Jamme akubali kuachia madaraka