1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 18.03.2018

Sylvia Mwehozi
18 Machi 2018

Raia wa Urusi wanapiga kura leo katika uchaguzi unaotazamiwa kumpatia ushindi rais Vladmir Putin. Uturuki yatangaza kuudhibiti kikamilifu mji wa Afrin. Na Rais Rodrigo Duterte asema atayashawishi mataifa mengine kujiondoa mahakama ya ICC.

https://p.dw.com/p/2uXci