1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 13.05.2017

13 Mei 2017

Kwenye matangazo yetu leo mchana:Kompyuta za hospitali katika jiji la London nchini Uingereza zashambuliwa kwa virusi. Rais wa Marekani Donald Trump amtishia aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la upelelezi FBI aliyemfuta kazi. Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yakabiliwa na mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola

https://p.dw.com/p/2cuZu