1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 12.08.2017

Sylvia Mwehozi
12 Agosti 2017

Tuliyo nayo: Watu sita wauwawa Kenya baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa. ais Donald Trump amemuonya kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un kwa mara nyingine tena. Na Idadi ya vifo katika ajali ya treni nchini Misri yafikia watu 49.

https://p.dw.com/p/2i748