1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 12.05.2018

Yusra Buwayhid
12 Mei 2018

Iraq leo yafanya uchaguzi wa kwanza wa bunge, tangu kulishinda kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu IS. Wanajeshi 11 waripotiwa kuuawa nchini Syria kutokana na shambulizi la Isarael. Na, nchini Kenya kwafunguliwa uchuguzi baada ya kupasuka bwawa la maji la Patel lilosababisha vifo 45 huko kaunti ya Nakuru.

https://p.dw.com/p/2xaiS