1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 06.08.2017

Yusra Buwayhid
6 Agosti 2017

China yaishauri Korea Kaskazini baada ya kuwekewa vikwazo na Umoja wa Mataifa. Venezuela yamfukuza kazi Mwanasheria Mkuu. Vikosi vya Syria vyakamata ngome ya mwisho ya IS, katika jimbo la Homs.

https://p.dw.com/p/2hldP