Maelfu waandamana mjini Barcelona kulitaka jimbo la Catalonia libaki kuwa sehemu ya Uhispania. Rais Hassan Rouhani asema Iran itaendelea kutengeneza makombora kwa ajili ya ulinzi wa nchi. Kiongozi wa upinzani nchini Kenya raila Odinga ataka kuitishwe uchaguzi mpya ndani ya siku 90 zijazo.