1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 21.01.2017 Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

21 Januari 2017

https://p.dw.com/p/2WBpU

Mamia ya maelfu ya wanawake waandamana Washington na miji mingine duniani kupitisha ujumbe wa haki kwa wanawake kwa Rais Trump.

Yahya Jammeh atarajiwa kuenda Guinea lakini wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wataka afunguliwe mashtaka ya ukiukwaji wa haki na kujilimbikizia fedha za nchi.

Viongozi wa vyama vya sera kali za mrengo wa kulia katika Umoja wa Ulaya wakutana Koblenz Ujerumani