Tuliyo nayo jioni hii : Rais wa zamani wa Misri Mohammed Morsi amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la ujasusi wakati akiwa madarakani // Muuaji wa mbunge wa Uingereza afikishwa mahakamani London //Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier amesema mazoezi ya kijeshi ya jumuiya ya kujihami ya NATO, yanaweza kuvuruga hali ya kiusalama Mashariki mwa Ulaya.