1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 15.10.2016

Sylvia Mwehozi
15 Oktoba 2016

Tuliyo nayo: Mazungumzo mapya ya kutafuta njia za kumaliza mgogoro wa Syria yameanza nchini Uswisi. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema nchi yake inahitaji kufanya "jitihada za kitaifa" kuwarudisha katika nchi zao wahamiaji waliokosa hifadhi. Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umekiri kwamba mojawapo ya ndege zake " uliulenga kimakosa" mkusanyiko uliokuwa katika mazishi.

https://p.dw.com/p/2RGkM