1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 11.11.2017

Zainab Aziz
11 Novemba 2017

Trump asema Putin hakuingilia uchaguzi wa Marekani. Lebanon yaitaka Saudi Arabia ifafanue kwanini waziri wake mkuu Saad al Hariri harejei nyumbani?. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel azitaka nchi zilizoendelea kiviwanda ziongoze katika kuyalinda mazingira. Maelfu ya watu wakusanyika katika mji wa Gaza kwenye kumbukumbu ya Yasser Arafat.

https://p.dw.com/p/2nT64