1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 07.01.2018

7 Januari 2018

Kansela Angela Merkel asema ana imani kwamba watafikia makubaliano ya kuunda serikali na chama cha SPD. Ufaransa yaadhimisha miaka 3 tangu kutokea mashambulizi ya kigaidi kwenye ofisi za jarida la 'Charlie Hebdo'. Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May atarajiwa kufanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri.

https://p.dw.com/p/2qSyl