1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi: 29.09.2017

29 Septemba 2017

Wakaazi wa jimbo la Catalonia waelezwa kuchoshwa na utawala wa serikali ya mjini Madrid, waazimia kupiga ya ndiyo kwa uhuru wa jimbo lao. Maoni kuhusu spika mpya wa bunge la Ujerumani Bundestag, Wolfgang Schaeuble - Ni mtu wa aina gani? Mfululiz wa ripoti kuhusu siku ya wazee duniani - safari hii tuko nchini Uganda. Zipo maka za mwangaza wa Ulaya, Sura ya Ujerumani na Jukwaa la manufaa.

https://p.dw.com/p/2kwCY