Matangazo ya asubuhi 23.12.2017 | Media Center | DW | 23.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya asubuhi 23.12.2017

DW yaangalia misimamo ya nchi nne muhimu katika vita vya Syria kuelekea duru mpya ya mazungumzo ya amani. Profesa Mwesiga Baregu azungumzia nafasi ya rais Emmerson Mnangagwa kulitatua tatizo la ardhi Zimbabwe.