Donald Trump, ameapishwa rasmi kuwa rais wa 45 wa Marekani katika sherehe zilizofanyika jijini Washington. Mazungumzo yenye lengo la kuutatua mzozo wa Syria yanatarajiwa kuanza Jumatatu ijayo nchini Kazakhstan. Na, nchini Kenya Zoezi la kusajili wapiga kura liliyoanza mapema wiki hii limezua mhemko wa kisiasa.