1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi, 19 Oktoba 2017

TSA / S08S19 Oktoba 2017

Katika matangazo haya tunakuletea wito wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kutaka jumuiya ya kimataifa isaidie juhudi za kupambana na ugaidi kwenye eneo la Sahel huko kaskazini magharibi mwa Afrika, kushindwa kwa Umoja wa Mataifa kuwalinda raia wa Sudan Kusini, na pia matokeo ya utafiti wa masuala ya kupambana na umasikini nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/2m8sk