1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 17.10.2015

TSA / S09S17 Oktoba 2015

Tuliyokuandalia katika Matangazo ya Asubuhi 17.10.2015 //Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry awahimiza viongozi wa Israel na Palestina kudumisha amani Mashariki ya Kati//Rais Barrack Obama na mfalme Mohammed bin Zayed waizungumzia Syria//Na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel anatarajiwa kukutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Berlin, wiki ijayo.

https://p.dw.com/p/1GpgR