1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 15.08.2017

Sylvia Mwehozi
15 Agosti 2017

Rais Emmanuel Macron, anakabiliwa na changamoto za kila aina anapoadhimisha siku 100 tangu aingie madarakani. Kwa namna nyingi, Rais Donald Trump wa Marekani na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jung-Un wanaweza kuwa tafauti, lakini kuna mengi wanayoweza kufanana. Kundi la Hezbollah na washirika wake wanaishinikiza serikali ya Lebanon kurejesha tena uhusiano na serikali ya Syria.

https://p.dw.com/p/2iDZs