1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 14.10.2017

Saumu Mwasimba
14 Oktoba 2017

Umoja wa Ulaya wapinga msimamo wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu makubaliano ya Nyuklia ya Iran. Upinzani nchini Kenya unasisitiza hakutokuwa na uchaguzi tarehe 26 Oktoba kama ilivyotangazwa. Kiongozi wa upinzani bungeni nchini Uganda Winnie Kiiza amemshtumu rais Museveni kwa matamshi yake ya kuwatisha wale wanaopinga kubadilishwa kwa katiba ili kuondoa ukomo wa umri wa rais.

https://p.dw.com/p/2lhA8