1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 10.01.2017

Sylvia Mwehozi
10 Januari 2017

Tuliyo nayo: Sheria ya mkakati wa bima ya afya ya Rais Barack Obama yazidi kukosolewa. Wanawake katika Bonde linalozunguka ziwa Chad wamelazimika kujihusisha na biashara ya ngono wakiuza miili yao ili waweze kuishi kufuatia mashambulzi ya wanamgambo wa kundi la itikadi kali la Boko Haram. Na kutambulishwa kwa simu aina ya iPhone miaka 10 iliyopita kumeleta mapinduzi.

https://p.dw.com/p/2VXue