1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi: 08.10.2017

8 Oktoba 2017

Kwenye matangazo yetu leo asubuhi: Kansela wa Ujerumani Angela Merkel atafanya mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto. Maelfu ya watu nchini Uhuispania waandamana kutaka suluhisho la mgogoro wa kisiasa nchini humo lipatikane. Rais wa Marekani Donald Trump atoa vitisho vingine dhidi ya Korea Kaskazini.

https://p.dw.com/p/2lS6Y