1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi: 02.12.2017

2 Desemba 2017

Aliyekuwa mshauri wa usalama wa taifa nchini Marekani Michael Flynn amekiri kusema uongo juu ya mawasiliano yake na Urusi. Kiongozi wa chama cha Social Democrats (SPD) nchini Ujerumani Martin Schulz amesema anaunga mkono mazungumzo na kansela Angela Merkel juu ya kuunda serikali. Ujumbe wa Syria wajitoa kwenye mazungumzo ya amani ya mjini Geneva.

https://p.dw.com/p/2oe3H