Juhudi za serikali ya Kenya za kushirikiana na upinzani kwenye mazungumzo ya marekebisho kadha ya katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa Desemba mwaka huu zinaendelea kushindikana baada ya upinzani kupinga mapendekezo ya serikali.
https://p.dw.com/p/CHHI
Matangazo
Upinzani nchini Kenya unahimiza mabadiliko ya katiba ili kuhakikisha kwamba mshindi wa urais lazima apate zaidi ya asilimia 50 ya kura zote zilizopigwa.
Mwandishi wetu Mwai Gikonyo na ripoti kamili kutoka Nairobi.