1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Marekani isiruhusu Dola kuporomoka zaidi

Waziri wa Uchumi wa Ujerumani Michael Glos ametoa mwito kwa Marekani kuchukua hatua ya kuzuia thamani ya Dola kuporomoka zaidi.Amesema,mauzo ya nje ya nchi za Ulaya yanaathirika kutokana na viwango vya ubadilishaji wa fedha.Glos akaongezea kuwa Marekani isijaribu kusawazisha matatizo yake ya kiuchumi kwa kuiachilia thamani ya Dola kushuka zaidi.

 • Tarehe 30.11.2007
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/CVGI
 • Tarehe 30.11.2007
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/CVGI

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com